Being The Change creates revolution

Something happens when we pull ourselves together. Individually and collectively. When we glimpse and experience what we add up to…. and start to make choices we didn’t know we had. Many of us look around and yearn for change in our lives and in our work. That change may be relatively small, or it may be profound and appear painful to achieve.

Thursday, 18 February 2021

JOIN ME TO GIVE THEM EDUCATION

&nb...

Tuesday, 25 February 2020

MAAJABU YA DUNIA

Nikiwa nimetembelea Mkoa wa Arusha wilayani Monduli, Nchini Tanzania ndipo ninapokutana na mzee mwenye umri wa miaka 105. Idadi ya watoto na wajukuu wa mzee huyo ni 360 na wake 33.Huyu ni Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laiboni. Amelazimika kuwa na shule yake na soko kwa ajili ya jamii yake hiyo na anasema bado ana azma ya kuendelea kuoa. Watu kutoka mataifa mbali...

Monday, 24 June 2019

SJ STUDIO NA MKAKATI WA KUSAIDIA WATOTO WENYE VIPAJI VYA KUIMBA

Kipaji Kipaji ni zawadi, ni nguvu ya ndani aliyonayo binadamu, inayomwezesha kufanya shughuli zake katika uhalisia wake, na tena bila kutumia nguvu nyingi (Enearta 2005). Tuna Mifano mingi ya watu wengi waliofanikiwa Tanzania, Afrika na duniania, si kwasababu wamesoma sana, au wamezaliwa katika familia Tajiri, lakini kwasababu ya vipaji vyao kikiwemo kipaji cha...

Monday, 25 February 2019

CHAIRPERSON OF MISSION TO THE NEEDY FOUNDATION DR. GERTRUDE RWAKATARE HAS RELEASED 78 PRISONERS

 Founder and Chairperson of  Mission to the Needy Foundation, Dr. Gertrude Rwakatare, volunteered to pay 78 prisoners in three prisons in Dar es Salaam and be released after paying 25 million shillings equivalent to 10 thousand dollars . The activity was held last year under the spiritual leader who had been accompanied by his staff who started in Keko prison...

Saturday, 17 November 2018

KWA WAZAZI/WALEZI NA WAZAZI WATARAJIWA ZINGATIA HAYA MAMBO 10 MUHIMU KWA MALEZI BORA YA MTOTO

 1.Mkanye Mtoto Wako wa Kike Hata Wakiume,Kuusu Kupakatwa Ovyo bila Kujali ni nani Anampakata,Hata Kama Ni Mjomba wake. 2.Usivue Nguo Mbele ya Mwanao Pindi Akifikisha Miaka Miwili Au zaidi,Mwambie Akupishe Uvue Nguo. 3.Usiruhusu Mtu Yeyote Amuite Mwanao"Mchumba,Mke wangu au Mme wangu" 4.Mwanao Akienda Kucheza Akikisha Anacheza nini,Siku Hizi Watoto Wanacheza Michezo...

Saturday, 3 November 2018

JOHN SHABANI ASHIRIKI CHAKULA CHA UPENDO NA WATOTO YATIMA KUTOKA CHAKUWAMA

Nasema asante kwa MAKAO YA KULEA WATOTO YATIMA ( CHAKUWAMA) Nimejisikia raha kuwahudumia, tumekuwa na wakati mzuri wa kula na kunywa pamoja.  Lakini pia nimshukuru Mtumishi wa Mungu Mgisa Mtebe kwa kushiriki lakini pia kutoa ujumbe maalum katika tukio hilo. Mwisho pongezi za pekee zimwendee rafiki yangu Edson mhasisi wa "WORLD DOMINION INTERNATIONAL MINISTRIES"...

Wednesday, 17 October 2018

THEY NEED YOU, THEY NEED ME, THEY NEED OUR SUPPORT

...