Being The Change creates revolution

Something happens when we pull ourselves together. Individually and collectively. When we glimpse and experience what we add up to…. and start to make choices we didn’t know we had. Many of us look around and yearn for change in our lives and in our work. That change may be relatively small, or it may be profound and appear painful to achieve.

Tuesday, 25 February 2020

MAAJABU YA DUNIA

Nikiwa nimetembelea Mkoa wa Arusha wilayani Monduli, Nchini Tanzania ndipo ninapokutana na mzee mwenye umri wa miaka 105. Idadi ya watoto na wajukuu wa mzee huyo ni 360 na wake 33.Huyu ni Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laiboni. Amelazimika kuwa na shule yake na soko kwa ajili ya jamii yake hiyo na anasema bado ana azma ya kuendelea kuoa. Watu kutoka mataifa mbali...